Wachambuzi wa Michezo Tanzania Kupelekwa Mafunzo (Kozi)

Wachambuzi wa Michezo Tanzania Kupelekwa Mafunzo (Kozi)


Serikali imesema bado ina dhamira ya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kuwapa mafunzo (kozi) wachambuzi wa michezo kabla ya kwenda kufanya kazi ya uchambuzi kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa kanuni za michezo kama zinavyotaka.

Hayo yameelezwa tarehe 05 Februari, 2025 bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi.

Shangazi ametaka kujua iwapo serikali ipo tayari kuwapa wachambuzi mafunzo mahsusi kwa sababu kumekuwa na changamoto ya kupotosha habari za michezo nchini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad