Kila mtu anafahamu ubora wa Pacome, ana ofa nyingi sana, lakini ukweli ni kwamba tupo kwenye mazungumzo na viongozi wa Yanga SC hatujafikia mwisho kwa asilimia mia moja, lakini tunakwenda vizuri kuna vitu vichache sana vimesalia kumaliza kila kitu na rais wa klabu yao (Hersi Said). Kama kila kitu kitamalizika atasaini mkataba na kama havitamalizika anaweza kuondoka pia, sio tu Pacome hata Yao (Kouassi) naye mkataba wake unamalizika mwisho wa msimu. Zambro Traore ( Wakala wa Pacome )
Mwanaspoti