Wazawa Wanavyokimbiza Ligi Kuu Usipime...Top Score na Assist




MAZAO YA YANGA SC WANAOSUMBUA LIGI KUU (NBC)

Kiongozi wa mbio za ufungaji bora mpaka sasa kwenye NBC PL.

CLEMENT MZIZE wa Young Africans, raia wa Tanzania mwenye mabao 9.

Nyota mwenye assists nyingi zaidi kwenye NBC PL mpaka sasa msimu huu.

FEISAL SALUM wa Azam FC, raia wa Tanzania mwenye assists 9.

Yes, wazawa wanaongoza mbio hizi za best playmaker na best goals scorer.

Na CHAN itakuwa hivi, pasi kutoka kwa Feisal inafika kwa Mzize, Stars wale kwenye kibendera na itakuwa hivyo hivyo pia kule Morocco kwenye AFCON.

Inshallah

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad