Sugar haijawahi kupata goli mbele ya Yanga kwa misimu mitano [5] mfululizo.Imeingia kwenye orodha ya klabu zilizofungwa goli 4 msimu huu.
Rasmi Yanga imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi kuu Tanzania Bara na itaongoza hadi pale ambapo Simba itacheza kesho dhidi ya Tabora.
Narudia tena kusema Yanga yenye Maxi Nzengeli ndio Yanga hatari zaidi kwa sasa pengine hata kochà Ramovic anafurahi akiwa na nyota huyo.
NB: Bora muwahi kukutana nao maana mnaweza kujikuta kwenye mstari wa 6+😂
FT: YANGA 4-0 KAGERA SUGAR.