Yanga wanatambua ligi ya msimu huu ni ngumu hivyo wanaandaa kila silaha ili kushinda hii vita kubwa ya 2024/25.
Ligi ya msimu huu haijulikani itaamuliwa kwa points au magoli hivyo Yanga wanaset kila kitu kiwe upande wao.
Mpaka ÅŸaÅŸa Yanga wamecheza mechi 21 Za ligi na wamefanikiwa kufunga magoli 55,goli 14 zaidi ya Simba…..ukiingia kwenye mfumo Wa Yanga unapigwa 5G.
Yanga wako Tayari kutwaa ubingwa kwa njia yeyote,iwe alama au magoli wako Tayari