Timu ya #Yanga imeendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea taji la Ligi Kuu Bara, baada ya kuichapa Mashuja FC Magoli 5-0 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, hivyo kufikisha alama 55, ikibaki kileleni katika msimamo kwa kucheza Michezo 21
Wafungaji wa Magoli ni Duke Abuya (31), Prince Dube (47), Khalid Aucho (54) na Clatous Chama (73, 83), upande wa Mashujaa FC ambayo ilikuwa nyumbani imesaliwa na pointi 23 katika Michezo 21
Timu inayoshika nafasi ya pili ni #Simba yenye alama 50 katika Michezo 19, ikifuatiwa na #AzamFC yenye pointi 43 katika Michezo 20