Young Africans FC has been put up for sale!
Strange one there! All the details shortly.
"Habari za hivi punde Yanga Afrika imeingia sokoni kwaajili ya kuuzwa,inashangaza kweli,habari nzima itafuata hivi punde"
Ameandika Mchambuzi wa Michezo Micky Jr
Unafikiri ni kina nani hao wanataka kuinunua Yanga Afrika???
Kumbe Kuna Timu Nyingine inaitwa Yanga Africa na Hamsemi.......Mna Siri Nyie