Web

Young Africans wako sahihi kumbania Clement Mzize kwa sasa

Young Africans wako sahihi kumbania Clement Mzize kwa sasa



Young Africans wako sahihi kumbania Clement Mzize kwa sasa.

Kama klabu wanamalengo ya kuchukua ubingwa wa ligi kuu, lakini mwisho wa msimu wanaweza kukaachini wakazungumza na vilabu vinavyo mtaka Mzize na kufanya biashara.

Binafsi Young Africans naona wako sahihi kwani mzize ni mchezaji mzuri na tishio kwenye klabu, mpaka sasa ligi kuu Tanzania bara kafunga Goal 10 na Assist 4, unamtoaje mchezaji kama huyu na unalengo la kutwaa taji.

Itapendeza zaidi mwishoni mwamsimu Young Africans wakifanya biashara ya Clement Mzize

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad