"Sitoshangaa Mohamed Hussein Shabalala akijiunga na Yanga mwishoni mwa msimu kwasababu kwanza, mkataba wake na Simba unaisha na inaelezwa kwamba anaweza asisaini mkataba mpya na Simba"
"Mohamed Hussein Shabalala ni miongoni mwa wachezaji ambao raisi wa Yanga anawakubali sana, kwahio chochote kinaweza kutokea mwishoni mwa msimu huu"
Anasema: Alex Ngereza