Alichokifanya Debora Fernandes siku ya leo ni performance ya Five star. game bora kwenye kiungo pair na Kagoma alifanya kazi ya kuprogress mashambulizi aliamua mda gani Simba wawe na kasi na mda gani kasi ipungue (UTULIVU).
Bado ile Energy ipo aiseee, ndio hapati dakika nyingi ila akipata ni kama regular status ya mwalimu : Kasi , Pass , utulivu na maamuzi …. Yote yalikuwa sawa kwake .
Simba next game ni dhidi ya Wananchi Nafikiri Comb ya Kagoma na Fabrice inatosha sana lakini leo Debora amemfanya Fadlu afikirie zaidi.