Web

Ally Kamwe Afunguka 'Hakuna Taarifa Rasmi ya Mimi Kufungiwa'

Ally Kamwe Afunguka 'Hakuna Taarifa Rasmi ya Mimi Kufungiwa'



“Taarifa za Ally Kamwe kufungiwa miaka miwili ni tetesi, Nasema ni tetesi maana mimi, mawakili wala klabu yangu hatujapewa Taarifa za hukumu hiyo na Mamlaka zinazohusika (Kamati ya Maadili ya TFF.)

“Taarifa hizo ni za mitandao tu, ni ukweli niliitwa kwenye kamati na shtaka langu niliambiwa kuwa Nimedhalilisha Mamlaka kwa maana ya TFF na Bodi ya Ligi kwa kuzungumza maneno ya Uongo yasiyo na busara kwa kutumia chapisho langu kwenye ukurasa wangu wa Instagram ambalo nilichapisha Februari 3, 2025,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.

Msikilize @alikamwe kupitia Wasafi Fm muda huu pia unaweza kutufuatilia mubashara ndani ya YouTube Channel yetu ya Wasafi Media

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad