Web

Azam Wafunguka: Tupo Tayari Kumuuza Fei Toto, Tunasubiria Offer

Top Post Ad



Azam wanasubili ofa tu Msimamizi wa idara ya Habari wa Klabu ya Azam Fc Thabit Zacharia maarufu kama (@zakazakazi ), amesema wako tayari kusikiliza ofa kwa mchezaji wao Feisal Salum ambaye mkataba wake unatamatika 2026.

"Tunatarajia feisal kutoa matokeo kwani tunamlipa pesa nyingi. Hata akiamua kuondoka hayo yatakuwa maamuzi yake, hatumzuii kuondoka. Hatuna mpango wa kumuacha Feisal aondoke lakini kama kuna timu itafikia makubaliano na sisi. hatutasimama katika njia yake hata hivyo, kufikia sasa, hatujapokea ofa yoyote kutoka kwa klabu yoyote." Thabiti Zacharia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.