Web

Chadema Watangaza Kurejea Kwa Dr Wilbroad Slaa

Top Post Ad





Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kurejea kwa aliyewahi kuwa katibu mkuu wao, Dk Wilbroad Slaa leo Jumapili Machi 23, 2025.

Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya ‘No Reforms, No election’ jijini Mbeya.


Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakiendelea na maandalizi ya uzinduzi wa 'No Reform, No Election'
Dk Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.