Billionaire maarufu kutuoka nchini Ghana @richardniiarmahquaye siku ya leo amefikisha miaka 40 na anatarajia kufanya sherehe ya birthday yake siku ya kesho na amewaalika watu maarufu kutoka pande mbalimbali za dunia.
Baadhi ya wasanii watakaohudhuria na kutoa burudani kwenye hafla hiyo ni @diamondplatnumz kutoka Tanzania,@davido kutoka Nigeria,@sarkodie kutoka Ghana na wasanii wengine.
@diamondplatnumz na timu yake leo hii wamechukuliwa na Private Jet ya tajiri huyo kuelekea nchini Ghana kwa ajili ya tukio la kesho March 22,tukio litakalofanyika Independence Square Accra nchini Ghana.
Tembelea YouTube channel yetu ya Middle simba kupata taarifa nyingi zaidi.