Web

Edgar Kibwana 'Hili la Simba na Yanga ni Doa Kwa Mamlaka za Soka Nchini, Dunia Inatushangaa

 

Edgar Kibwana 'Hili la Simba na Yanga ni Doa Kwa Mamlaka za Soka Nchini, Dunia Inatushangaa

KONTAWA @edgarkibwana amekosoa kinachoendelea baada ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi hapo jana na kusema hili ni pigo na doa kwa mpira wetu

“Ligi nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika ,Timu inazuiliwa kufanya mazoezi na watu ambao kwa makusudi au kutokujua kanuni za mchezo.”

“Ligi nafasi ya 6 kwa ubora barani Barani Afrika ,timu inasusia mchezo (kwa sababu za kikanuni)”

“Ligi nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika , Mechi ya kuitangaza nchi kimataifa haichezwi kwa sababu ya timu kuona inaonewa kikanuni, tuna safari ndefu sana katika kuujenga mpira wa nchi yetu.”

“Hili ni pigo na doa kubwa kwa wenye mamlaka za Mpira nchi hii , Dunia ya sasa ni Kijiji na wenzetu wanatushangaa”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad