''Bado nina wasiwasi na Simba mbele ya Al masry,
Lada hatu kufikia tarehe 2 simba itakuwa imejiimarisha zaidi, kumfunga Dodoma jiji goli 6 sio tiketi ya kwenda kumfunga Al masry,
Nimewafuatilia Al masry wapo vizuri na mpira sio bahati bali Simba anakutana na wapinzani ambao wamemzidi.'' Geaff Leah
JE SIMBA UNAIONAJE????