Kwa mujibu wa Hansrafael14
Yanga wamewasiliana na winga wa Azam,raia wa Gambia, Gibril Sillah (26).
Yanga wamefanya mazungumzo ya awali na Sillah,huku wakimtaka ajiunge na timu hiyo mwishoni mwa Msimu huu.
Mkataba wa Sillah na Azam ni pungufu ya miezi sita,hivyo anaruhusiwa kuongea na timu nyingine.
January mwaka huu Azam walifungua mazungumzo ya mkataba mpya ila hayakufanikiwa Kwani winga huyo hakuwa na maelewano mazuri na kocha mkuu Rachid
Taoussi.