Ameandika Haji Manara;
Hata kama ungekuwa wewe ndio kiongozi wa Makolo usingeleta team leo
Nyuma kumeenea na Mbele kwa Moto balaa
Last week, nilimsikia mmoja wao akiongea mahali eti mechi huenda isiwepo kwa kuwa itanyesha mvua kubwa sana Ijumaa na Jumamosi hii.
Nikamuuliza ni lini umekuwa Mtabiri wa hali ya hewa? Akajiuma jiuma kama Chale
Majuzi wakamtuma Mzee Azim achafue hali ya hewa kwa kumkataa Refarii la Dunia Ahmed Arajiga🥺
Yote ilikuwa ni kutafuta sababu ya kuumwaga leo,,,
Waliskuti wakaona tunaenda kukandwa kwa mara ya tano
Ila Bora wasije tu maana safari hii zingefika nane au tisa