Mchambuzi wa michezo @tiganatz anasema hakuna sehemu ambayo inasema kuwa timu ngeni kama haitofanya mazoezi basi mechi inatakiwa isichezwe.
"Kwenye sakata la kutochezwa kwa dabi ya Yanga na Simba naona bodi wana kosa la moja kwa moja,kwenye kanuni zao hakuna sehemu ambayo inasema kuwa timu ngeni kama haitofanya mazoezi basi mechi inatakiwa isichezwe." Tigana Lukinja
Nani Apewe Lawama?