Web

Ikangalomba Kwa Chikola au Shiza Kichuya Anaanzia Nje - Mchambuzi




Mzee wa Jambia amewatolea uvivu wachambuzi wa masuala ya kandanda humu nchini kwa kuandika haya kupitia mtandao wake wa Instagram.

"Nimekumbuka ile Kauli ya Mzee Wenger ya nikifika Mbinguni Kwanza nitauliza marefa wapo upande gani ili nichague Motoni na Peponi

"Na mimi nikifika Mbinguni nitauliza kwanza wachambuzi tupo wapi ili nichague Peponi na Motoni

"Unajua zile Hype za Jonathan Ikangalombo Kapela wakati wa Usajili nilitegemea mpaka sasa awe anamuweka nje Mzize,Maxi au Paccome

"Lakini tumeanza Kusema tumtegmee zaidi Msimu ujao,mchezaji ambae amesajiliwa Dirisha Dogo kwaajili ya Kuimarisha team.

"Sasa hivi Jonathan Ikangalombo Kapela hana uwezo hata wa Kumuweka Bench Tuisila Kisinda au Jesus Ducapel Moloko.

"Hana uwezo hata wa Kumuweka nje Ofen Chikola wa Tabora United au Shiza Kichuya.

"Swali lingine la Msingi Kuuliza Kwa wachezaji wa Pembeni ambao wapo Yanga,usajili wa Winga yalikuwa Mahitaji ya Msingi ya Dirisha Dogo?.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad