Web

Jeshi la Polisi Lafunguka Sakata la Nicole Berry Kukamatwa kwa Utapeli

Jeshi la Polisi Lafunguka Sakata la Nicole Berry Kukamatwa kwa Utapeli


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Mwanamke aitwae Joyce Mbaga maarufu kama Nicole kwa tuhuma za kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu na kuchezesha biashara ya upatu.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema Nicole amekamatwa March 3, 2025 kwa tuhuma hizo ambapo amefanya matukio hayo katika maeneo tofauti ndani na nje ya Dar es salaam.

“Amekuwa akihamasisha baadhi ya Watu kwa kuanzisha ma-group mbalimbali ya kuweja majina hewa kwenye ma-group hayo kwamba wanachangia pesa baada ya muda mfupi unapata kiwango kikubwa cha pesa suala ambalo baadaye anakuja kutopatikana kwenye simu na kupotea na pesa ambazo Watu wamechangia,”

VIDEO:


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad