Web

Jonas Mkude Kutemana na Yanga....Wamekaa Mezani..



Mchezaji wa Yanga Jonas Mkude anacheza msimu wake wa mwisho wa ligi kuu ya NBC akiwa na Yanga, kwani taarifa zinaeleza kuwa Mkude ataagana na wananchi mwishoni mwa msimu huu!!

Pande zote mbili zimeridhia makubaliano ni suala la muda tuu.

NB: KAZI NA UMRI👏

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad