𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Kagera Sugar imemtangaza kocha Juma Kaseja Juma kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi hicho akichukua mikoba ya Melis Medo aliyetupiwa virago hivi karibuni.
Kabla ya kujiunga na cha ‘Wana Super Nkurukumbi’, Kaseja alikuwa miongoni mwa makocha wanaounda benchi la ufundi la Timu ya Taifa ya Tanzania kama Kocha wa Makipa.