Karibu sana mteja Ujipatie Taa hizi nzuri sana ambazo zinatumia Mwanga wa Jua kujichaji, Zina Sensor ambayo usiku zinajiwasha zenyewe na asubuhi kujizima
Taa hizi Zina Mwanga mkali , Unaweza kuzitumia Majumbani, Mashambani, Kwenye Mabanda ya Mifugo na hata Barabarani
Taa Hizi Zina Wts 200
Bei yake Kwa Moja ni sh 85,000 Tzs tu
Call 0714604974
Tupo Dar es salaam na Bagamoyo
Afri Solar Lights