KAZINI KWAKE KULIKUA NA KAZI 🙌🏼
Kwa pamoja Brahim Diaz na Mazraoui walikuwa unawaona wanaenda kuushambulia upande wa Mohamed Hussein imagine kama fullback una pambania na mchezaji mmoja anakipiga Real Madrid na mwengine Man United kwa pamoja...
Maji yalizidi unga upande wa Mohamed Hussein 🙌🏼 Level ya wenzetu nikubwa mnoo kulinganisha na yetu, Wachezaji wetu wamejitahidi kupambana Ila uwezo 🙌🏼
FT MOROCCO 2 TANZANIA 0