"Fadlu david kafungwa mara mbili na Yanga tangu amekuja Tanzania, tafsri yake ni kwamba kazoea poteza dhidi ya Yanga, kama atapoteza tena itakuwa ni mara yake ya tatu mfululizo kufungwa na Yanga na itakuwa mara ya tano mfululizo kwa Simba kufungwa na Yanga..kwa mazingira ya aina hii una lololte la kumshauri Fadlu david?"
Amesema: Alex Ngereza
.