Web

Kocha Julio Amwagia Sifa Kibao Kipa wa Taifa Stars

Top Post Ad

Kocha Julio Amwagia Sifa Kibao Kipa wa Taifa Stars



Kocha wa timu ya taifa Stars, Jamhuri Kihwelo (Julio) anasema licha ya kipa wa Jkt kufungwa ila ni kipa mzuri na ataendelea kudaka zaidi.

''Licha ya kipa kuruhusu mabao mawili ila ni miongoni mwa magolikipa mambao wamepata nafasi ya kucheza michezo kwenye ligi kuu,

Tanzania tuna matatizo ya magolikipa wengi ambao wanacheza ni makipa kutoka nje,

Aishi Manula, Ali Salimu ni makipa ambao kwenye timu zao hawacheza, kwahiyo tutaendelea kumtumia Kipa ambaye anapata muda zaidi wa kcuhez kwenye timu yake,

Ninaamini pamoja na udogo wake lakini atakuja kuwa kipa mkubwa kwasababu amecheza vizuri kwenye michuano ya Zanzibar ana atakuaja kuwa kipa mzuri hati timu zetu watamtamani.''Julio

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.