Web

Kocha Yanga: Aziz K Hata Cheza, Ana Sumbuliwa na Maumivu ya Mgongo



Kocha wa Yanga Sc, Hamdi Miloud amesema kuwa kikosi chake kipo kamili kumenyana na Simba katika mchezo wa kesho, isipokuwa mchezaji mmoja Stephane Azi Ki ambaye anasumbuli na maumivu ya mgongo hivyo utimamu wake siku ya kesho ndio utakao amua kama ataweza kucheza mchezo au laa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad