Web

Kuanzia 2030 Ubunge Viti Maalum Ukomo Miula Miwili tu


Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana March 10, 2025 Jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo katika kikao hicho, Halmashauri Kuu hiyo imepokea na kujadii kisha kuridhia mapendekezo ya marekebisho ya ukomo wa viti maalum ambapo imeweka ukomo wa vipindi viwili vya miaka mitano kwa nafasi za ubunge/uwakilishi na udiwani wa viti maalum Wanawake.

Ukomo huo utaanza kutumika katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad