Web

Kutoka kulipwa Sh30,000 hadi kumiliki Hotel

Top Post Ad

 


Jina langu naitwa Salma mkazi wa mkoa wa Kilimanjaro, nimefanya kazi ya kupika na kuuza chakula hapa mjini kwa miaka 10 sasa tangu mume wangu alipoamua kuniacha na kuoa mwanamke mwingine.

Mume wangu aliponiacha nilipata hali ngumu ya maisha haswa kulipa kodi, kuwapatia watoto chakula, kuwavalisha na huduma nyingi ambazo wanastahiri kupata.

Sikuwa na kazi yoyote muda huo nilikuwa mama wa nyumbani tu, elimu yangu ni darasa la saba, hivyo mume wangu aliniacha akijua nitangaika ila Mungu amtupi kiumbe chake siku zote. Nilianza tafuta kazi ili watoto wangu wapate vitu muhimu, hatimaye nikapata kazi ya House girl.

Kazi hiyo nilikuwa nalipwa Sh30,000 kwa mwezi japo chakula na malazi nilikuwa napewa ila nilikuwa nimepewa mashart makubwa sana na miongoni mwao nilitakiwa kutoka nje baada ya miezi mitatu kwa ajili ya kwenda kuwaona watoto wangu.

Kutokana na hali nilikuwa nayo nilikubali kisha nikaanza kufanyakazi, nilikutana na changamoto na mitihani mikubwa sana kutoka kwa mke wa Bosi wangu ila nilijitahidi sana kwa sababu nilijua kila kazi ina changamoto zake, hivyo sikuwa na budi ya kuvumilia.

Baada ya miezi mitatu tangu nianze kufanya kazi nilipata habari kuwa mtoto wangu mdogo mwenye umri wa miaka mitano anaumwa. Nilivyopata habari hizo nilimuomba ruhusa Boss wangu wa kiume akaniruhusu ila mke wake alikataa kabisa na kuniambia kuwa mkataba wangu unasema naruhusiwa kutoka nje baada ya miezi mitatu.

Ilinibidi nivumilie tu,cila baada ya wiki jirani yangu alinipigia simu kuwa mtoto hali yake inazidi kuwa mbaya.

Sikuwa na jinsi zaidi ya kufunga vitu vyangu kisha kuomba kuondoka, mke wa Boss wangu alikubali kuwa kama nimeamua kuondoka hamna shida na mkataba unasema;

“Mfanyakazi akivunja mkataba halipwi pesa yoyote”, hivyo nilitoka bila hata mia zaidi ya matusi nyuma yakinifata. Nilipofika nyumbani nilimchukua mtoto wangu hospitali kisha akapata huduma.

Mtoto alipopona nilikuwa sina nafasi ya kurudi tena kazini nilipokuwa hivyo ilibidi nitafute kazi nyingine, ilibidi nitafute mtaji ili niweze jiajiri mwenyewe.

Hatimaye nilipata mtaji nilikuwa nataka kisha nikaanzisha biashara ya kupika chakula na kuuza, mwanzo biashara ilikuwa poa ila kadiri siku zilivyozidi kwenda biashara ikawa mbaya napika chakula kinabaki.

Chakula kubaki hiyo ilikuwa ni hasara kwangu ila nilivumilia kwa miezi sita hatimaye nikaona nahitaji usaidizi maana kila mteja anayekula chakula changu siku ya kwanza anasema ni kitamu na kuaidi kuwa atarudi tena ila siku inayofata unamuona yule yule anaenda kula pengine.

Siku moja walikuja vijana wawili kwa kibanda changu wakihitaji chakula, nikiwa nawapakuria chakula walianza kuzungumza kuhusu Kiwanga Doctors ambaye amewasaidia kupata wasichana ambao walikuwa wanawatongoza wanawakataa kwa muda mrefu, mazungumzo yao nakumbuka yalikuwa  kama hivi,

Yule Kiwanga Doctors ni kiboko unajua Arine amenikataa kwa miaka miwili ila kwa sasa kila muda ananipigia simu na kuomba tuonane, Ismail acha Zako sasa mimi Catherine jana amenipigia simu eti anaomba niende kwao wanione ili tuanze kuishi wote.

Kisha wakacheka kwa furaha kubwa, kabla hawajaondoka niliamua nitumie nafasi ile, hivyo niliwaomba  namba ya simu ya Kiwanga Doctors ambayo ni +255618536050. Baada ya kunipatia namba wakaenda zao.

Pesa waliyonilipa niliweka vocha ya kutosha kisha kuwasiliana na Kiwanga Doctors. Ndipo Kiwanga Doctors akanipatia maelekezo jinsi ambavyo nitaweza saidika, nilifata maelekezo yale, hatimaye nikapata nilichokuwa nahitaji.

Na kwa sasa mimi siyo Mama Ntilie tena ila namiliki Hoteli kubwa hapa Kilimanjaro na Arusha pia Biashara yangu kila mwezi inapanda kwa asilimia kadhaa.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.