Maxi Nzengeli leo ametoa darasa huru ya namna ya kufunga magoli mazuri tena kwa ufanisi!Muendelezo bora uwanjani,anafanya majukumu yake vyema na ubora unazidi kupanda,Leo alikua na kiwango kikubwa.
Maxi Nzengeli anafikisha mabao 3 katika CRDB FEDERETION CUP huku leo akifunga mabao 2 mbele ya Coastal Union.
Note:Yanga SC kipindi cha kwanza walivyokua wanacheza ni kama “Playstation” walikua bora sana na kuweza kufunga mabao yote ndani ya kipindi cha kwanza.
Yanga SC watakutana na Songea katika 16 bora ya CRDB FEDERETION CUP.
FT:Yanga SC 3:1 Coastal Union.