Nyota wa kimataifa wa Tanzania mbwana Samatta @samagoal77 amekuwa tishio kwa michezo ya hivi karibuni akiwa na kikosi chake cha Paok, leo ameisaidia timu yake ya PAOK kuibuka na ushindi wa mabao mawili mbele ya Asteras Tripolis baada ya kufunga goli la pili na kutoa Assist ya goli la kwanza
Kwenye michezo Sita ya mwisho Popa amefunga michezo minne na kufunga jumla ya magoli matano na kutoa pasi moja ya goli