Web

Mchezaji Jean Charles Ahoua Awanyima Usingizi Al Masry



Mchezaji wa Klabu ya Simba Jean Charles Ahoua kutoka Ivory Coast, ndiye mchezaji mwenye takwimu nzuri zaidi ndani ya ligi ya NBC pamoja na klabu yake ya Wekundu wa Msimbazi Simba.

Kuelekea kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho Barani Afrika April 2, 2025 dhidi ya AL Masry ya Misri, Ahoua anazua maswali mengi kwenye benji la ufundi la Al Masry kutokana na kiwango chake na takwimu zake msimu huu.

Ahoua ndio kinara wa ufungaaji magoli NBCPL akiwa amefunga magoli 12 na kutoa asisti 7 hivyo amehusika katika magoli 19 na bado msimu unamwita.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad