Taarifa kutoka nchini Burundi zinasema Yanga wapo hatua za mwisho kumalizana na winga wa nchi hiyo Jean Claude Girumugisha ambaye anakipiga katika klabu ya Al Hilal O.SC inayonolewa na kocha Ibenge.
Winga huyo amewavutia vigogo hao wa soka nchini Tanznia kupitia mashindano ya klabu bingwa Afrika.
Rais wa Yanga ,Eng Hersi Said siku mbili hizi hakuwepo nchini inatajwa kuwa kuna wachezaji kadhaa anaenda kufanya nao mazungumzo kwenye kipindi hiki ligi zimesimama.
Kama mnamjua Girumugisha ni mchanyiko wa Pacome na Mpanzu au nakosea ?