Web

Msanii Alikiba Amjibu Master Jay Baada ya Kusema ni Mbana Pua...




Msanii Alikiba amemjibu Master Jay baada ya kauli yake kuwa Alikiba anabana pua na hawezi kushinda tuzo na watu wa kushindanishwa nao ni waigizaji wa Movie za Kihindi tu na sio Wasanii wanaoweza kuimba Live kama vile Bien wa Kenya.

Majibu ya Alikiba kupitia Ukursasa wake wa Instagram "Umekuwa ukiropoka sana mitandaoni bila kujiheshimu wala kuheshimu watu sijui unajiona nani yani kama vile wewe ndio unapandisha watu daraja katika maisha mabadiriko yako ya akili unayaweka hadharani unataka tujiskie vipi sisi tunao kuheshimu unaropoka sana siku hizi umesahau brand yako uliyoitengeneza miaka mingi unahitaji kunyama sio kila kitu watu wasubiri utasema nini unadalili zote za upin** maana umekosa heshima siku hizi badirika unachokifanya sio sifa nzuri" - Alikiba

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad