Web

Murtaza Mangungu Afunguka "Simba Tumeitwa Kujadili Maendeleo ya Soka Sio Derby"

Top Post Ad



“Kikao chetu sisi kimejadili maendeleo ya mpira hakijajadili walichojadiana na wenzetu, tungejadili mechi yetu tungeitwa kwa pamoja ila mamlaka si ilishasema mechi yetu itapangiwa tarehe nyingine.”

“Sisi tumejadili maendeleo ya soka Tanzania, Kikao chetu sisi hakihusiani na chao kama kingehusiana na chao tungekaa pamoja hivyo wao ndio wanajua walichozungumza na Waziri na sisi ndio tunajua tulichozungumza na Waziri.”- Murtaza Mangungu mwenyekiti wa @simbasctanzania

Viongozi wa Simba SC wameondoka Benjamin Mkapa baada ya kikao chao.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.