Web

Nafasi ya Tanzania Kwenye Nchi Zenye Furaha Duniani......

Top Post Ad

Nafasi ya Tanzania Kwenye Nchi Zenye Furaha Duniani......

Nafasi ya Tanzania Kwenye Nchi Zenye Furaha Duniani......

Tanzania imeshika nafasi ya 136 kwenye Ripoti ya nchi zenye Furaha duniani kwa mwaka 2025, ikiwa na tathmini ya maisha ya 3.8 kati ya 10.

Viashiria vilivyozingatiwa ni pamoja na msaada wa kijamii, pato la taifa kwa kila mtu (GDP per capital), uhuru wa kufanya maamuzi binafsi, ukarimu, na mtazamo wa wananchi kuhusu rushwa.

Licha ya kuwa na nafasi ya chini, baadhi ya maeneo kama uhuru wa kijamii na ukarimu yanaonyesha maendeleo. Ripoti hii hutolewa kila mwaka kwa kuzingatia viwango vya maisha na ustawi wa wananchi.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.