Web

Patrice Motsepe Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa CAF kwa Muhula wa Pili

Patrick


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amechachaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).

Karia ambaye ni Rais wa Kanda ya CECAFA ameshinda nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho hilo uliofanyika mapema leo jijini Cairo, Misri ambapo pia ameteuliwa kuwa Mjumbe wa kamati ya fedha ya Shirikisho la Afrika (CAF).

Katika hatua nyingine Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe amechaguliwa tena kuliongoza shirikisho hilo kama Rais kwa kipindi cha miaka minne ijayo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad