“Ikangalombo sio mchezajji mbaya ila huwezi kumpima kwenye mechi kama hii ambayo sio ya kiushindani ukizingatia amejiunga kwenye timu ambayo imekamilika tayari”
“Kwa ushindani uliopo wa ligi sio rahisi kocha kumuamini moja kwa moja kwenye kikosi ikiwa gap ya alama kwenye ligi sio kubwa sana na mpinzani anayefuata kwahiyo kusajiliwa kwake na kupata namba sio rahisi ikiwa umewakuta wachezaji wazuri kama Chama wanagombea namba pia”
“Ikangalombo amesajiliwa wakati sio sahihi kwenye kikosi cha @yangasc , ni mchezaji mzuri tatizo ni nafasi tu” 🗣️ @geoff_lea