Shirikisho la soka la Misri limeipatia Zamaleck alama tatu baada ya Ahly kutokutokea kwenye mchezo wa Dabi wakishinikiza mchezo huo uchezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi
Pia Ahly atapokonywa alama tatu kwenye alama zake za Jumla mwishoni mwa Msimu
Kumbe ndio maana hawa wanakuwa ligi namba moja hawana Siasa wa vipengele😂
Cc #MickyJnr