Web

Refa Ahmed Arajiga Kuchezesha Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrik



Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Kitanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Pyramids FC ya Misri na AS FAR ya nchini Morocco.

Mchezo huo utachezwa Cairo, nchini Misri Aprili 01, mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad