MICHEZO: Mchezaji Shomari Kapombe ameweka wazi sababu za kumpatia jezi yake Fei toto akisema kuwa sababu ya kumpatia jezi ni kuwa anamkubali saana huyo mchezaji
"Ni heshima unajua kwenye mpira tunaheshimiana mimi namkubali saana Fei toto na yeye ananikubali kwahiyo ilibidi nimpe jezi abaki na kumbukumbu yangu na mimi nibaki na kumbukumbu yake"
Shomari Kapombe alipoulizwa juu ya tamanio la kucheza na mchezaji huyo aliweka wazi kuwa " hakuna mchezaji asiyetamani kufanya kazi na Fei Toto akija Simba nitafurahi"