Web

Simba Inajilazimisha tu Kumtenga Aishi Manula na Kuishi naye Kihunihuni

Top Post Ad



Moussa Camara bado haijajulikana hatima ya hali yake ya kiafya haswa ukizingatia kwamba hata Guinea walishindwa kumtumia kwenye mechi dhidi ya Uganda hapo jana.

Ally Salim alikuwa kwenye kambi ya Taifa Stars Morocco na sasa anaelekea Egypt kwaajili ya kusubiria mchezo dhidi ya Al Masry.

Dar es salaam kuna Hussein Abel pekee ambaye yuko fiti kucheza mchezo wowote.

Hapo ndipo Mwamba Aishi Manula anaporejea kwenye kambi kuokoa Jahazi🔥

Simba inajilazimisha tu kumtenga Aishi Manula na kuishi naye kihunihuni lakini katika nyakati hizi za ushindani mkubwa kwenye mashindano ya kimataifa huwezi kumuweka mbali golikipa mwenye uzoefu wa Level ya Manula.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.