Simba SC ndiyo timu yenye 'Unbeaten' ndefu zaidi kwenye Ligi kuu NBC TZ, Michezo 15 mfululizo bila kufungwa. Ni tokea ilipofungwa mara ya mwisho Oktoba 19, 2024 0-1 na Yanga SC. Simba SC haijafungwa kwenye Ligi Kuu miezi 5 iliyopita.
Yanga SC ya pili ina Uneaten 12. Fadlu ....