Web

Taifa Stars Yafungwa na Morocco 2 Bila, Quality Imeamua Mchezo

Top Post Ad



Taifa Stars Yafungwa na Morocco 2 Bila, Quality Imeamua Mchezo

Taifa Stars imekubali kichapo cha magoli mawili kwa Sifuri Nchini Morocco, ukiwa ni mchezo wao wa nne wa kusaka tiketi ya kufuzu katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2026

Matokeo hayo yameiweka Stars katika nafasi ya 3 katika msimamo wa Kundi E wakiwa na alama 6 Sawa na Niger walio na Alama 6 pia huku Zambia zaking'ang'ania nafasi ya 4 wakiwa na alama tatu na funga Kazi ni Congo wenye alama 0.

MSIMAMO WA KUNDI E.

1. Morocco 15 Pts

2.Niger 6 Pts

3. Tanzania 6 Pts

4. Zambia 3 Pts

5. Congo 0 Pts

FT: Morocco 2-0 Tanzania

51' Aguerd N.

58' Brahim D (Penalty)

𝐅𝐮𝐥𝐥 𝐭𝐢𝐦𝐞.. 𝐌𝐨𝐫𝐨𝐜𝐜𝐨 2-0 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚.

Haikuwa kinyonge mmepambana sana hongereni sana wachezaji wetu mlioenda kuliwakilisha taifa letu nafasi bado tunayo nguvu bado tunazo tumebakisha michezo miwili dhidi ya 𝐍𝐢𝐠𝐞𝐫 pamoja na 𝐙𝐚𝐦𝐛𝐢𝐚 yote tunacheza tukiwa nyumbani tusikubali kuwa imeisha watanzania wote twendeni uwanjani tukawape sapoti wawakilishi wa taifa letu ili tufuzu kwa hatua inayofuata...

Displine ya kukaba kipindi cha pili. Haswa dk za kwanza pale. Tunahitaji wachezaji wenye Experience zaidi kwenye mechi za maamuzi. Safu ya pili baada ya mabeki ilizubaa kidogo wapinzani wakapata nafasi na wakazitumia. Safu ya mwisho ya ulinzi imefanya majukumu yake kikamilifu sana.


Kwanza kabisa quality imeamua mchezo, pili Kuna matukio WACHEZAJ WETU walikuwa wanaonesha uoga yaan mtu ana mpira ila kitete ata kutoa pasi sahihi anashindwa Kwa yote timu tunayo, itukienda Kucheza chan mwaka huu tutafuzu Matokeo ndiyo hayo vinginevyo tutaaanza kuangalia nafasi ya mmoja mmoja, nani kafanya nini wakati lengo la timu ni kupata matokeo ya timu kwanza,

nafasi ya mmoja mmoja huja baada ya matokeo ya timu.


From Opera News


Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.