Ukweli ni kwamba tarehe 8 kuna mechi ya Simba na Yanga halafu kuna mechi ya Pacome na Simba✍️
This dude was born to play football✍️
Kibongo bongo huyu ni complete player,ana uwezo wa kuficha mali,ana uwezo Wa kukokota mali kwenye msitu “Ball manipulator” anaweza ku-create nafasi kwa washambuliaji,pia anaweza kufunga mwenyewe.
Wewe kama ni Fadlu lazima ufanye vyote👇
1. Kuandaa tumu nzuri ya kupambana na Yanga.
2. Kuandaa mpango mkakati wa kumzuia Pacome Zizuu.
Hapo Fadlu akisahau kimoja wapo siku itakuwa chungu kwake✍️