Ukihitaji ku-speed Up mchezo basi Mpanzu yuko pale,huyu kijana ni mlipuko kwenye hii ligi,aki-turn na kukupa mgongo umekwisha✍️
Tarehe 8 kazi ya kumzuia haitakiwi kuwa ya Patrick Mwenda peke yake unless mnamtakia lawama kijana wa watu✍️
Mpanzu anatakiwa kukabwa na Rightback,Right DM na Right-Centerback.
Ä°le mikato Yake ya wembe (Razor Sharp Movements) kutokea pembeni kuingia ndani haizuiliki na mtu mmoja.
Tarehe 8 ni Mpanzu dhidi ya watu watatu