TRANSFER NEWS🎙Kennedy Musonda mbioni kujiunga na AZAM FC.
0Udaku SpecialMarch 12, 2025
TRANSFER NEWS🎙Kennedy Musonda (30) mbioni kujiunga na AZAM FC.
Azam Fc wamewasiliana na Yanga Sc ili kuinasa saini ya Mshanbuliaji Kennedy Musonda... Mazungumzo bado yanaendelea ila uwezekeno Wa mchezaji huyo kujiunga na Azam Fc ni mkubwa mno