Web

Upendo Nkone Awashauri Wanaume Kuacha Kula Mayai ya Kisasa

Upendo Nkone Awashauri Wanaume Kuacha Kula Mayai ya Kisasa



Muimbaji wa nyimbo za Injili, #UpendoNkone, ametoa ushauri wa kiafya kwa wazazi kuhusu ulaji wa mayai ya kisasa. Kupitia ujumbe wake kwenye instagram, amewataka wazazi kuwa waangalifu na lishe ya watoto wao wa kiume, akidai kuwa mayai ya kisasa yanaweza kusababisha ukuaji wa matiti kwa wanaume kutokana na kemikali zinazotumika katika uzalishaji wake.

Katika ujumbe wake, Upendo Nkone alisisitiza kuwa ni bora kula mayai ya kienyeji badala ya yale ya kisasa, akiwataka wanaume kuchukua tahadhari kuhusu chakula wanachokula. Pia alihimiza ulaji wa chipsi bila mayai kama njia mbadala.

Unadhani ushauri wake una msingi wowote? Maoni yako ni muhimu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad