Viongozi wa Yanga SC, ambao wamekuja kwenye kikao cha serikali wameondoka Benjamin Mkapa baada ya kumaliza kikao chao.
"Tumefikisha ujumbe wetu tuliokuwa nao kwa Waziri, na niwahakikishie wanachama wa Yanga SC kuwa viongozi wao ni imara na tunapigania maslahi ya klabu yetu"-Eng. Hersi Said ( @caamil_88 )
Rais wa Yanga ameongeza kwamba kikao hicho hakikuwa kikao cha maa,uzi bali kilikuwa ni kikao cha kutafuta suluhu kwa watani hao